Download the following Application form by clicking on the link below, print it, fill it and return it to Gonzaga Preparatory and Primary School located at Kigogo Luhanga near Loyola High School. For more information call 0782065959. Pakua fomu hii hapa chini kwa kubofya, printi, ijaze na kisha irudishe Shule ya Awali na Msingi Gonzaga iliyopo Kigogo Luhanga karibu na shule ya Sekondari ya Loyola. Kwa maelezo zaidi piga namba 0782065959.
REGISTRATION FORM 2021
|